Taarifa kuhusu nafasi za tanesco za may

Taarifa kuhusu nafasi za tanesco za may

Tanesco bila kushikwa mkono ni ngumu sana kupata kazi kwenye hilo shirika
 
tanesc wanazingua tafuta kaz mahala pengine..au mtafute Eng..fulan asimamie show..nilisha kua tanesc fild nmejionea kwa macho
 
Back
Top Bottom