Rekebisha kwanza heading isomeke NBS (National Bureau of Statistics) mkuu na sio HBS.
Kuleta hizi nyaraka huku si ndio mwanzo wa kuwaletea wenye forum kesi zingine? Inasomeka walengwa walikua ni wadadisi sifikirii ni umma wote.
Kazi yako inakuruhusu kuleta hizi habari kwa umma? Japo mwisho naona ofisi imeweka baraka zake kwa aliyetoa hizo taarifa na ushahidi.