Kuna ile. Mm sjui kuattach, maana hizo nyimbo sina kwa cm.
Heshimaa yangu imewatia kiburi mnanipaka matope eheeee
Aaah na utu wangu umewatia jeuri mnaona sjui mfanyaje..
Aha basi wenzanguuuuuu
Huo si ujabaliiii
Hayo ni malupe lupeee eheee
enzi hizo. Utaiambia nn daslam na taarabu.