Kama hupendi kufundisha katafute shahada ya kwanza ya Ualimu au kitu kingine chochote, zaidi ya hapo nakushauri sana mdogo wangu tena plz and plz "I am under you legz" kwi kwi kwi, nenda kafundishe serikalini kwa miaka miwili kisha kasome (wakti huo mwaka wa 3 utapata promotion). Mwalimu kukosa kazi ni uzembe uliopitiliza kuna watu wapo mitaani wanatamani wangekuwa Walimu halafu wewe unapoteza muda!!!!! Kalaghabaho