taaluma MWALIMU lakini...

muhandu

JF-Expert Member
Sep 25, 2011
311
82
mimi ni mwalimu wa history na geography nimewahi kufundisha shule 2.nikaingia kampuni ya cm kwa miaka 2,sasa kampuni imeuzwa natafuta kazi yoyote.nina diploma ya elimu najua computer.uzoefu huduma kwa wateja ya miaka 2.ni multpurpose ninachohitaji ni kazi.
 
nimeomba shule mbalimbali.najibiwa kuwa labda mwakani.nimetuma cv 15 sehemu tofautitofauti hakuna majibu.ndio nikaona nitumie jukwaa hili.najua wadau wengi wanapita hapa.si lazima ualimu kazi yeyote ili mradi niweze kujikimu kimaisha.
 
Kama hupendi kufundisha katafute shahada ya kwanza ya Ualimu au kitu kingine chochote, zaidi ya hapo nakushauri sana mdogo wangu tena plz and plz "I am under you legz" kwi kwi kwi, nenda kafundishe serikalini kwa miaka miwili kisha kasome (wakti huo mwaka wa 3 utapata promotion). Mwalimu kukosa kazi ni uzembe uliopitiliza kuna watu wapo mitaani wanatamani wangekuwa Walimu halafu wewe unapoteza muda!!!!! Kalaghabaho
 
Unapendelea Dar au Mkoa wowote? Kama kokote ni PM. Halafu peleka haraka sana maombi wizarani wanaweza wakakufikiria hata kama umechelewa
 
nikipata dar ni vema zaidi.JE J3 NIPELEKE BARUA NA CV WIZARANI?MR.GERRARD
 
Dar na mishahara ya Ualimu uta survive kweli? Tafuta sehemu nyingine nzuri Mkoani kwani kuna advantage kubwa sana. Unaweza kutafuta sehemu kama Morogoro, Iringa, Dodoma, Tanga, Mbeya n.k Jitahidi Jumatatu upeleke wizarani barua ya maombi,na vyeti vyako vyote. Masomo yako yana walimu wengi sana so Dar lazima utazunguka sana
 
Kama hupendi kufundisha katafute shahada ya kwanza ya Ualimu au kitu kingine chochote, zaidi ya hapo nakushauri sana mdogo wangu tena plz and plz "I am under you legz" kwi kwi kwi, nenda kafundishe serikalini kwa miaka miwili kisha kasome (wakti huo mwaka wa 3 utapata promotion). Mwalimu kukosa kazi ni uzembe uliopitiliza kuna watu wapo mitaani wanatamani wangekuwa Walimu halafu wewe unapoteza muda!!!!! Kalaghabaho

kaka kafundishe mbona wewe ulifundishwa jamani?
 
wakati nasubiri majibu ya wizarani nimepata kibarua kwa muhindi 50,000 kwa wiki pia huwa siku ingine nauli na ya chakula hapo hapo.kwani kwa sasa lazima mkono uende kinywani.sina budi kupambana.nawashukuru sana kwa mchango wa mawazo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom