"Kongamano la jana lilikuwa la kutafuta amani Mhe. Waziri Mkuu Mizengo Kayanza pinda amechukuliwa hatua
gani au kauli gani za karipio zilizotolewa kwa walio hudhuria kongamano la amani.Waziri mkuu ndiye Mchochezi na msababishaji wa uvunjifu wa amani katika taifa letu?kama haya simatumizi mabaya(kifisadi) ya fedha za walalahoi watanzania, wenye shida lukuki kama elimu, afya na umasikini,huu ni unafiki wa kuwadanganya watanzania kujifanya kuanda kongamano kwa jina la amani kwamba tuamini tunaviongozi wanauchungu na amani yetu. Je, kauli yake ya kutoa watu makucha, kung'oa meno na piga tu ataifuta je katika jamii yetu ya Tanzania ambao tumezoea amani na utulivu wa watanzania. kama kwenye makongamano ya amani mnaedelea kuwa kimya.acheni unafiki wakujikomba na kujibembeleza, kwamba mlikuwa mnategemea chadema ndio watamke hilo kwamba serikali ya chama cha mapinduzi, waziri wake mkuu ndiye mchochezi na msababishaji wa uvunjifu wa amani katika taifa, Chadema wameisha sema Th's stupidity.