Taabani majinuni sina hamu!.

Thread ya kibabe sana hii.

Kuna jambo sitaki uendelee nalo kichwani kukukandamizia saikolojia yako bhana!

Hapo uliplay party vizuri, namaanisha uliwajibika kiume.

Mkadirio wako kwa mwanamke kumpima kama 'kajaa' ama 'kakuelewa', nami hutumia kipimo hicho hicho cha macho, sina kipimo kingine.

Wale wa matabasamu makubwa ama cheko za kujichekesha kila tuangalianapo, hao huwaweka kwenye kundi la mitego ya rushwa za ngono!

Naungana na wewe kwamba, kwa condition hiyo, hata mimi ningedhalilika, maana ningepita mle mle ulimopita wewe, lakini nisingejilaumu!

Wakongwe tunaita 'felia' za kawaida katika harakati za pimbi, wala si za kujali wala kusononekea.
 
Kwenye lita 20 ya maji ya moto aweke mbalah kiasi gani, mangi?

Mpe na ile tahadhari: akimaliza kuoga asiongee lolote na dada zake au ndugu zake wengine wa kike, ili aepuke kuwapitia.
Nimetania tu mkuu sijui lolote kuhusu nilichoongea 😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…