Taa za waendao kwa miguu


B

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Messages
2,255
Likes
1,395
Points
280
B

bnhai

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2009
2,255 1,395 280
Naomba nieleweke kuwa hapa sizungumzii taa za waendao kwa miguu zilizopo kwenye makutano ya barabaya kubwa.
Hapa ninalenga taa za waendao kwa miguu maeneo ambayo wavukaji ni wengi. Taa hizi zinakuwa standalone. Zinawezeshwa kwa umeme wa jua. Kisha kama kuna waendao kwa miguu wakitaka kuvuka taa hizi zitawaka na kuonyesha red kwa upande wa magari. Hii itafanya magari yasimame na waendao kwa miguu wavuke bila wasiwasi wa kugongwa upande wa pili. Mfano, hii barabara ya Mwendo kasi, maeneo ya ubungo maji, suka, korogwe, mogomeni na kuendelea. Taa hizi zikiwekwa na kwa kuwa zinawaka kwa interval zitaruhusu usalama kwa watumiaji wa barabara wote.
 
B

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Messages
2,255
Likes
1,395
Points
280
B

bnhai

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2009
2,255 1,395 280
Hapo juu nimemaanisha itakuwa kama nguzo yenye taa na ina button ambapo wavukaji ndio watabonyeza na kisha kusubiri mpaka iwake nyekundu kwa magari na kijani kwa wavukaji.
 

Forum statistics

Threads 1,237,729
Members 475,675
Posts 29,298,849