Kwa Huko songea sina namna ya kutoa msaada kwasababu Hilo tatizo kwenye gari yako unahitaji fundi Tu mzuriNipo songea bro yani huku mafundi ni shida acha tu
Kiongozi m-link na fundi anaeweza kumsaidia ili kama vipi aingie gharama amsafirishe fundi. Nyumbi hii bombi hii [emoji1787][emoji1787]Kwa Huko songea sina namna ya kutoa msaada kwasababu Hilo tatizo kwenye gari yako unahitaji fundi Tu mzuri
Shida ni relay hapo na sensor ya a.c..msfundi wetu hawa bypass nyingi akiona kitu hakiweziHawa mafundi wetu shida sana, nilipeleka gar kurekebisha AC inajiwasha automatic muda wote haizimi, karkekebisha mara taa ya ABS Inawaka had leo na AC bado shid imerud vile vile
Tairi za mbele lazima liwepo..nyuma ndo hakunagaKwenye gari yangu hili bati halipo mkuu, afu siyo kwamba linakwaruza mda wote yani natembesha kidogo tu ndo naanza kusikia kama brake zinakamata na kuachia afu baada ya sekunde chache taa ya abs inajitokeza baada ya hapo gari inakuwa fresh tu unaenda umbali mrefu sana tu
Mawasiliano ya hao wataalam Kiongozi. Kuna Pajero inasumbua hapa Moro.Mtoa mada sijajua upo mkoa gani Ila kama upo DAR nenda pale shaurimoyo Kariakoo kuna mafundi wazuri wa nissan, Subaru na mitsubishi Hilo tatizo lako litaisha kabisa.
Haya magari tofauti na Toyota hayataki mafundi makanjanja kwasababu Hilo tatizo ni dogo Sana lkn ukienda Kwa mafundi wetu ndo hivyo unaenda kuzalisha tatizo
Tatizo lilianzaje mkuuTatizo la breki kushika na kung'ang'nia limenisumbua sana kwenye Kluger!! Ukipeleka kwa fundi wanarekebisha inakuwa safi. Lakini baada ya kutembelea kidogo ukifunga breki zinashika jumla zile za mbele hadi moshi unafuka! Naomba ushauri!!