Siku nyingine usile tena ugolo utaf!&w@ sio kila mtu humu ni saiz yako mkuuu.Madhara ya kuvuta bangi wakati wa jua kali huku hujala ndio haya
Tena bangi yenyewe aliyoivuta ni Skanska.Madhara ya kuvuta bangi wakati wa jua kali huku hujala ndio haya
Yalisemwa kama hayo kwa Iraq ya Saddam Husein.Interested, ukweli mchungu nikwamba Israel hawez na hatojaribu ishambulia Iran hata kwa msaada wa marekani, Middle East kwasasa Iran inaushawishi zaid ya Israel. Angalia Syria hapo Bashar al Assad kashinda vita dhidi ya magaidi yaliyoungwa mkono na nchi takriban 32 wakiongozwa na USA huku Syria akisaidiwa na Urusi, Iran pamoja na Hezbollah. Kimkakati bila USA hakuna Israel kwenye ramani ya middle east.
Saddam Hussein alivamiwa na nchi zaidi ya 10 zenye nguvu kubwa za kijeshi duniani tena baada ya kuichunguza Iraq na kuona hamna kituYalisemwa kama hayo kwa Iraq ya Saddam Husein.
Iran hatamuweza myahudiNakuambia hivi... maisha yako yote mpaka unakufa, hutoona Israel akimpiga Iran. Hana ubavu huo hata waungane na nani sijui.
Iran hana shida na myahudi,, iran kwenyewe kuna wayahudi pia,,Iran hatamuweza myahudi
Hii movie haijawahi kunichosha since 90's hadi leo.Private Joker was trained to kill...Full Metal Jacket movie
Kuna mtu amekubishia?Saddam Hussein alivamiwa na nchi zaidi ya 10 zenye nguvu kubwa za kijeshi duniani tena baada ya kuichunguza Iraq na kuona hamna kitu
Iran ni tofauti sana na Iraq. Musiki wa Iran sio wa kitoto Trump mwenyewe alisaluti baada ya kujalibu kulusha drone yake ya gharama sana na waliyokula wakiamiani haliwezi kuonekana na rada yoyote Ile. Drone hiyo haikuchukua hata dk moja kwenye anga ya Irani wahajemi wakaishusha chini
Vyombo vya usalama vya kimataifa na dunia nzima macho yao yote yapo Mashariki ya kati.
Baada ya dunia kushuhudia unyama na ujasusi wakutisha ktk mashariki ya kati sasa mimba imefika miezi tisa na tunakaribia kushuhudia mtoto kuzaliwa kwa uchungu mkubwa.
Israel inaenda kuichapa Iran jambo hili linawaumiza sana mataifa makubwa na hasa ikizingatiwa kuwa vita hii haitokuwa vita yakawaida.
Israel wana imani moja kabla hujawawahi wanakuwahi wewe. Hii ni moja ya imani ya waisrael na wame tekeleza mission zao bila kushindwa wala kukata tamaa.
Vita hii ni vita kubwa ambayo haikuwahi kutokea ktk dunia ya sasa.
Israel wataenda kutekeleza mission ngumu kuwahi kutokea kwa taifa lao huku wakiwa wamesha fanya full analysis yakile kinaweza kuwatomea watu wao na dunia.
Vita hii inategemea kutokea wakati wowote usio julikana.
Israel wakisaidiwa na jeshi lisilo onekana la Marekan. Wata
Saddam Hussein alivamiwa na nchi zaidi ya 10 zenye nguvu kubwa za kijeshi duniani tena baada ya kuichunguza Iraq na kuona hamna kitu
Iran ni tofauti sana na Iraq. Musiki wa Iran sio wa kitoto Trump mwenyewe alisaluti baada ya kujalibu kulusha drone yake ya gharama sana na waliyokula wakiamiani haliwezi kuonekana na rada yoyote Ile. Drone hiyo haikuchukua hata dk moja kwenye anga ya Irani wahajemi wakaishusha chini
Kwanza kile kitendo tu cha kusema atapika kambi za Kijeshi za US pale Baghadad na ikawa kweli inaonesha hao waajemi siyo wepesi na ni ukweli ulio wazi, Israel bila kuungwa mkono na Western bloc, hawez kufanya chochote