Blender JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 6,849 Reaction score 10,969 Aug 3, 2026 #2 Elezea kidogo tuelewe ?
amshapopo JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 2,523 Reaction score 5,811 Aug 3, 2026 #3 Acha kuwaogopesha watu. Hisa kupanda na kushuka ni kawaida………Au wewe speculator unawachanganya watu wa panic then uokote dodo😂😂😂.
Acha kuwaogopesha watu. Hisa kupanda na kushuka ni kawaida………Au wewe speculator unawachanganya watu wa panic then uokote dodo😂😂😂.
Alex_CPA Member Joined Jul 3, 2025 Posts 25 Reaction score 25 Aug 3, 2026 Thread starter #4 amshapopo said: Acha kuwaogopesha watu. Hisa kupanda na kushuka ni kawaida………Au wewe speculator unawachanganya watu wa panic then uokote dodo😂😂😂 Click to expand... Mimi sio speculator ila Maamuzi wanafanya wao au ni mimi? Kuna watu niliwaambia kuhusu mwalimu commercial bank bei ilipo kua 2100 wakasema nawaonea wivu haya sasa wanalia huko.
amshapopo said: Acha kuwaogopesha watu. Hisa kupanda na kushuka ni kawaida………Au wewe speculator unawachanganya watu wa panic then uokote dodo😂😂😂 Click to expand... Mimi sio speculator ila Maamuzi wanafanya wao au ni mimi? Kuna watu niliwaambia kuhusu mwalimu commercial bank bei ilipo kua 2100 wakasema nawaonea wivu haya sasa wanalia huko.