TAA internship

TAA internship

mumba09

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
46
Reaction score
82
Wakuu kuna aliyeitwa kwenye usaili wa zile nafasi za internship zilizotangazwa na mamlaka ya viwanja vya ndege?
 
Wiki ya pili inaisha kesho, tuendelee kusubiri pengine mchakato bado unaendelea
 
Tujipe muda kidogo_make deadline ya kuitwa kwenye usaili ni Sunday(29th).
 
natanguliza hongera kam kuna mtu kaitwa, mie nshajiongeza niendelee na mishe zngne😔😔 wiki 2 ndo teyar tena no call/msg
 
natanguliza hongera kam kuna mtu kaitwa, mie nshajiongeza niendelee na mishe zngne wiki 2 ndo teyar tena no call/msg

Usikate tamaa jina lako limo Kati ya wateuliwa..
 
Watu wametuma zaidi ya 4000 kwa nafasi 24 ni kasheshe mkuu

Haya tupe mrejesho hapo TAA ni lini majina mtatoa au ndio tayari juu kwa juu. Nyie angalieni GPA kubwa full stop
 
M
Watu wametuma zaidi ya 4000 kwa nafasi 24 ni kasheshe mkuu
Ni kweli wameomba wengi na haikuwa una apply online hivyo kuchakata na kuchambua mwenye sifa ina itaji mda kama mwezi hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom