jaman mim na shindwa kuelewa kwa sasa why mama janneth magufuli hatoki kuongea na hata inshu ya watoto wa kike wanafunz watakao pewa mimba na je yeye kama mama ana paswa kutoa tamko hata kidogo na amin na waambia rais ukimchunguza kwa makin ana ubaguz wa kijinsia mbona RAIS mstaafu na mama SALMA haikuwa hiv