T-shirt za ccm dhaifu zanikosha...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

T-shirt za ccm dhaifu zanikosha......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by king ndeshi, Sep 7, 2012.

 1. k

  king ndeshi Senior Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wanamkeka napenda kuileta hii kwanu sababu namekumbana na ujasiri wa kuigwa,nilikuwa nakatiza mitaa ya hapa barabara ya sita dodoma naelekea upande wa mashariki ambapo kuna jengo la CCM makao makuu,nikamkuta jamaa 1 akiwa kwenye mlango wa kutokea jengo la ccm katupia flana ya kijani,imemkaa poa. kitu cha kwanza kuja kichwan huyu kijana gani ambaye ukombozi unampita kwa kasi kiwango hichi,nikataka kujua imeandikwa nini coz niliona maandishi kwa mbele,kusogea karibu
  ...la haulaa, inasomeka CCM DHAIFU....
   
 2. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Safi sana ukiweza kumuona au kumfata mpe elfu 50. Halafu ni pm nikurejeshee.
   
 3. l

  lweganwa b Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teh teh............................................................?
   
 4. a

  abby Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na mie nitamuongezea hapo elfu 20 hahahahahahahahaah
   
 5. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Lete picha mkuu ili tumtunuku kwa sababu ameivalia jikoni kunakopikwa sumu
   
 6. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  anawaridhisha kwa kuivaa tisheti ya kijani na wao kwa umbumbu wao hawajui kama anawang'ong'a pambaf zao.
   
 7. awp

  awp JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  apewe big up
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kafanya kama mimi!
   
 9. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,694
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Te te teeeh.! Nina hofu na chombo cha habari
   
 10. M

  Mgengeli Senior Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama zinapatikana PM please
   
Loading...