king ndeshi
Senior Member
- Oct 31, 2010
- 135
- 7
wanamkeka napenda kuileta hii kwanu sababu namekumbana na ujasiri wa kuigwa,nilikuwa nakatiza mitaa ya hapa barabara ya sita dodoma naelekea upande wa mashariki ambapo kuna jengo la CCM makao makuu,nikamkuta jamaa 1 akiwa kwenye mlango wa kutokea jengo la ccm katupia flana ya kijani,imemkaa poa. kitu cha kwanza kuja kichwan huyu kijana gani ambaye ukombozi unampita kwa kasi kiwango hichi,nikataka kujua imeandikwa nini coz niliona maandishi kwa mbele,kusogea karibu
...la haulaa, inasomeka CCM DHAIFU....
...la haulaa, inasomeka CCM DHAIFU....