kamandawasua JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 326 Reaction score 86 Mar 28, 2015 #1 Habari zenu wafuasi, Kwa anayejua wapi ninaweza pata T-shirt za manga na zinginezo kwa bei ya jumla kariakoo. Naomba uweke bei yake na kiwango cha chini cha kununua. Asante
Habari zenu wafuasi, Kwa anayejua wapi ninaweza pata T-shirt za manga na zinginezo kwa bei ya jumla kariakoo. Naomba uweke bei yake na kiwango cha chini cha kununua. Asante
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,901 Mar 28, 2015 #2 Mi sizijui. Ungeniwekea picha ntapata kuzijua