Nimekumbuka nilipo hitimu form four nikaenda tuition kuanza masomo ya advance (physics na chemistry), hapo matokeo bado hayajatoka.
Sasa siku moja nikakutana na mkuu wangu wa O level kwenye hyo shule nilipokuwa naenda kusoma alinishangaa sana ....
Alinihidi kunisomesha advance endapo nitatoboa O level na gharama za tuition pia alinambia atalipa..., Mwenyezi mungu ampe malipo mema yule Madame.