Kesho tarehe 23 sio leo kesho kutwa TRA wanayaweka tayari tarehe 25 wanayatoa muyaone kwa hio km hujavuka 50 sijui 85 subiri written interview nyingine ukajaribu tena
Basi subiria rungu la NBAA wataamua wenyewe km wataweka 90 au 95 watajua wao maana watu mmeenda wengi na lazima wawapunguze kwa namna yoyote wawachukue wachache kwa hio hata wakisema passmark 100 usilalamike idadi ni kubwa