T-Mobile Icon zimegoma.

Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,103
418
Wadau, Bro wangu kanipa sim yake aina ya T-Mobile baada ya kuona kuwa imemzingua.
Simu ni tachi skreeni. Icon zote za upanda wa kushoto hazi respondi, yy anadai kuwa aliiweka karibia na Tv yake kwa hiyo imeharibiwa na magnet, sasa wadau nataka niipatie ufumbuzi ili niachane na haka ka Tekno cha kichina ninachotumia ambacho kina piga kelele kinoma hasa nikipigiwa.

Wataalam naomben msaada wenu
 
Mkuu maelezo yako hayajitoshelezi kabisaaa
Toa maelezo kamili simu yako ni aina gani,T Mobile sio aina ya simu T Mobile ni jina la kampuni ya simu kama Vodacom au Tigo au Airtel,
Jua kwanza simu yako ni aina gani na model gani kisha njoo hapa wadau watakusaidia hata ku google
 
Back
Top Bottom