Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
Baada ya kushiriki katka sherehe ya bibie Laula Bush na kupata kukutana na wadau mbalimbali..
Wasaníi wa T.H.T wamepata bahati ya kushiriki kwenye mashindano makubwa kuliko yote dunian ya kusaka vipaji American Idol yanayoendeshwa na Simon Philemon Cowel...
Ambapo kwa sasa Meneja wao bwana Ruge Mutahaba yupo kwenye mazungumzo na Simon Philemon Cowel katka mchakato huo wa mashndano hayo ambayo yamewatoa wasanii wakubwa km J.Lopez,John Legend,Janet Jackson n.k..
Vilevile pia T.H.T wamepata fursa ya kwenda New York Marekan kila baada ya miez 6 wakiwa kama mabalozi wa Malaria wakiongozwa na balozi wao mkuu Farid kubanda a.k.a Fid Q...
Hii ni taarifa nzur kwa watanzania wapenda burudani kwan tutajckia furaha kama Linah akiwa katka levo kam za J.JACKSON au J.Lopez..au barnaba kuwa km John Legend...yoo
Mmm fiksi nyingine bana hv zinawasaidia nn ?
Simon ana brand yake mpya, X factor na wala hayupo na hao Idol. Na sio kweli akina Janet J, au Jlo walipitia american idol....... !! Na Laula Bush ndiyo nani ?.....pambaf...
anacheza huyo... simon cowell yupo X-factor alishaondoka american idolNegro please..nikiangalia face value naona hii kitu umejitungia. Hapanshaka.
anacheza huyo... simon cowell yupo X-factor alishaondoka american idol
Fake....anajiita great thinker wakati anashindwa kuelewa kuwa American Idol ni kwa Americans only...is THT americans?
na sauti zao za kubana acha kusifia ujinga ruge amewasaidia nini ngoja mwanaharakati sugu apambane watakula bata 2
Achana na dogo anacheza huyu.anacheza huyo... simon cowell yupo X-factor alishaondoka american idol
Unaangalia ya mwaka huu au mwaka jana?? thanksSimon cowell bado yupo American Idol acha kupotosha uma..Ngoja nikuwekee link ya you tube umuone simon mwnyewe akiongelea issue hiyo...yoo
...........and his name is great thinker... i would call the dude great stinkerAchana na dogo anacheza huyu.
Cowell au Peirs Morgan hawa ni very arrogant Briton kwene showbiz na huyu mzushi alieleta hizi nyepesnyepes kutoka radio mbao za Kwa Mtogole inaonekana hajui hata high standards za hawa jamaa. Sidhani kaa mtu kaa Cowell anaeza akaallocate hata dk 1 kusikiza ofa feki za mapromota feki wa hao talentless THT..lolz
Dogo bado adolescence inasumbua...........and his name is great thinker... i would call the dude great stinker