Interview ya wapi hiyo mzee, mbona maswali ya kizushi?
Password iwe strong kuongeza security sababu 5 ni uzushi, Kusecure server inategemea na server ipi unataka kuisecure, au wanaongelea generaly? Kama kuifungia, kuweka password, kuweka firewall, kuzima services zisizohitajika etc? Linux preferred to Windows by who? Sababu kubwa ni low upfront cost, Linux ni bure wakati MS lazima ulipe license fees, kuna watu watadai Linux ni more secure huu ni uzushi kwa upande wa server.
Ilikuwa jana pale national institute of tourism mkuu....walitakiwa wapige simu jana jion, nahisi nilifeli kwa kishindo! ilikuwa ni aptitude test...ya kuandika!kwa nini usingenishirikisha na na mimi kwenye hiyo interview.... ropam unataka kula mwenyewe au hiyo interview imevuja unataka majibu!
Ni pale national institue of tourism mkuu...actually, ilikuwa ni aptitude test!Interview ya wapi hiyo mzee, mbona maswali ya kizushi?
Password iwe strong kuongeza security sababu 5 ni uzushi, Kusecure server inategemea na server ipi unataka kuisecure, au wanaongelea generaly? Kama kuifungia, kuweka password, kuweka firewall, kuzima services zisizohitajika etc? Linux preferred to Windows by who? Sababu kubwa ni low upfront cost, Linux ni bure wakati MS lazima ulipe license fees, kuna watu watadai Linux ni more secure huu ni uzushi kwa upande wa server.
Naona watu wanasema maswali ya kizushi, maswali huwa ni ya design hiyohiyo kwa wote. very simple professional qns. kila lakheri
Mimi sina professional ya IT/Computer science ila nimejifunza zile basic IT knowledge required to perfom better in my professional. Sasa kama unawasiwasi kuwa swali hilo si la professional ya IT/Computer science, napata wasiwasi na professional yako. Hilo swali ni la professional hiyo ila kusomea professional haimaanishi utajua kila kitu. Umefanya vema kuuliza ili usaidiwe.the simplicity of the questions is not at debate here :A S tongue:, ila mkuu ulivyosema kuwa haya maswali ya design hii yanaulizwa kila siku, umefanya niogope sana interview za hapa bongo. kusema kweli sijawai pigwa interview, nikichomoa vyeti vyangu, huwa napewa job on merits alone :biggrin:, ila ningependa kujua kama haya ni professional questions, wapi uliskia kuna sababu ya pili (leave alone five) reasons za kuweka a strong password. wewe ungejibu je haya maswali? mmhm?