Ehud JF-Expert Member Joined Feb 12, 2008 Posts 2,685 Reaction score 338 Mar 23, 2011 #1 Maandamano yanayoendelea huko ME yamezidi kuchua roho za watu safari hii ni huko Syria ambako maandamano yameshika kazi na watu sita wameuwawa katika msikiti wa Omari uliko kwenye mji wa Deraa. Bashar al-Asad haoni kinachompata mwenzake Gadafi? BBC News - Syria unrest: 'Protesters killed' at Omari mosque
Maandamano yanayoendelea huko ME yamezidi kuchua roho za watu safari hii ni huko Syria ambako maandamano yameshika kazi na watu sita wameuwawa katika msikiti wa Omari uliko kwenye mji wa Deraa. Bashar al-Asad haoni kinachompata mwenzake Gadafi? BBC News - Syria unrest: 'Protesters killed' at Omari mosque