Syria na Iraq zinapogeuzwa maeneo ya kujaribia silaha za U.S, Ulaya na Urusi

Hizi nchi za kiarabu zinatafunwa na tatizo la ubaguzi (ndani na nje ya nchi zao) na hayo mengine yanayojitokeza ni matokeo yake tu.

Mwl. Nyerere alishasema ubaguzi ni kansa kwa sababu hauna ukomo. Leo hii kila nchi ya Kiarabu iko ama kivyake ama ni mshirika wa nchi za wazungu na ndomaana hata hao US na Russia sio km wanashambulia kutoka Washington na Moscow bali wana base zao hukohuko uarabuni. Hawa waarab km hawatapata akili ya kuungana walau kwenye maeneo ya msingi wataendelea kuangamia kama panya.

Nchi za ulaya kuna mambo huwa wanatofautiana lakini kwenye mambo yenye maslahi ya pamoja lazima wanakuwa pamoja.
 
''' Dunia ni mahala salama pa kuishi kama angekuwepo sadam hussein , muamar gadafi'' donald trump , american presidential contender

'''The world powers must create an enemy as the source of population controll movement and the rise of WW3''Albert pike masonic prophet of 19 century


so ''UGAIDI'' ni adui wa kutengeneza ili dunia iivae vita nyingine baada ya ile ya mwaka 1945 kimantiki hakuna adui anayeitwa UGAIDI bali wanachotaka ni population controll either kupunguza watu duniani kwa kushambulia wasio na hatia au kuzuia watu wasiingie ulaya kwa vitishio vya ugaidi .

kwa masikio yako ulishawahi kusikia ARABIA watu wanakufa sana kwa ugonjwa wa UKIMWI?? so political crisis ndio weapon ya kutumia ili watu wapungue (under te NEW WORLD ORDER run by Western illuminati) lakini AFRIKA ni kwa biological weapon wengi sana walikufa kwa HIV/AIDS so ikapungua?? je ukiachana na NIGERIA kuna nchi nyingine ina watu wengi sana?? je unaona kinachotokea leo?? watu wanapunguzwa kwa kile kinachoitwa ugaidi!! wake up waliotajwa na Donald Trump walilikataa hili ndo mana wakawekwa vitoweo na marekani kwa ajili ya kuikaribisha NEW WORLD ORDER,,,,,
na Albert pike ni mtabiri na mwandishi wa biblia ya masonia wengine ni kama Antony la vei
kama vita ya tatu ilitabiriwa so kupitia UGAIDI ndivyo inavoandaliwa na mass media zinazodanganya kama BBC , CNN, Al Jazeera etc

adui mwengine aliyeandaliwa ni Aliens wait and see utaambiwa silaha zinatengenezwa kwa ajili yao lakini zinajaribiwa wapi??????? mimi na wewe hatujui ......
well said !!! ukiangalia hali ya Mashariki ya kati utaelewa kwa nini Donald Trump alisema dunia ingekuwa salama kama S.Hussein na M.Gaddafi wangekuwepo. Tangu Gaddafi alivyouliwa kikatili na NATO Libya imekosa muelekeo. nchi moja serikali mbili zinazokingana. Jeshi limegawanyingika na vikundi vingi vyenye silaha vimeibuka. Iraq pia hali si shwari tangu uvamizi wa Bush and US Allies. serikali haina nguvu imekosa kudhibiti maeneo muhimu. zaidi sana vikundi vya kigaidi vimeongezeka.
 
Ndugu zangu naombeni mnisaidie dikteta ni mtu gani je kuna tofauti ya dikteta na mfalme je kama mtu kaongoza muda mrefu sana ndio dikteta?
 
Mimi ninacho ona mmarekani anataka kuwafundisha waislamu duniani kwamba amani ni kitu muhimu sana duniani na pale siria wamewawekea kama mtego flani ivi wanajua waislamu wanatabia moja wakisikia waislamu wenzao wanapigana sehemu flani lazima wajipeleke kichwa kichwa kwa kigezo cha kupigania dini na ndio maana mmarekani yeye ni kuwadungua tu hadi akili yao itakapo kaa sawa kwamba amani ni kitu muhimu sana duniani na tuilinde kwa pamoja isipotee.
Tatizo Ni Ni uislam au raid WA Syria ,kwa marekani ndio chanzo cha tatizo eti kuuondoa utawala WA Fulani nibsuluhisho la kudumu.
alimiondoa sadam,gadafi,na sass Assad anaondolewa lkn kote huko walikopita badobkuna machafuko na nchi zao zina madeni ya vita.KWANGU MIMI NINJUMUIYA YA KIMATAIFA INABURUZWA NA US
 
Mleta umesema kweli kabisa, kuwa Syria na Iraq zinageuzwa kuwa vituo vya kujaribishia na kutangaza silaha za mataifa makubwa yenye nguvu za kijeshi na teknolojia. Katika kuperuzi kwangu leo nimeona habari iliyoandikwa "Going Global:Russian Su-34 on the way to Become Export Bestseller' katika chombo cha habari cha kirusi (sputnik) baada ya kuonyesha uwezo mkubwa wa ndege hizi za Su-34 huko syria Algeria wameweka oda ya ndege 12. tazama link hapa Going Global: Russian Su-34 on the Way to Become Export Bestseller Pia marekani wanatarajia kuiuzia Saudi Arabia silaha za kijeshi
 
Bro hapo nimekupata xana....huo ni mpango wa kukumilisha new world order...na marekani ni mtejelezaji mkuu wa new world order under the power given by the black pope ADOLF NICHOLOUS...huyu ndo mtu pekee dunian mwenye maamuzi pekee ya kutaka nan aongoze sehemu fulan na nan atolewe....moja ya mpango wa new word order as one of ILLUMINANTI CONSPIRACY THEORY ni kuifanya dunia yote iwe na serikali moja,uongozi mmoja na iabudu dini moja chini ya kiongozi mmoja wa dini ambaye zipo harakati za kumtangaza papa awe kiongozi wa serikali na dini zote duniani...moja ya mikakati hiyo ni kufire out dini ya kislaum ambayo haitakiwi iwepo kwa leo lakin waislam wanalitambua hilo na ndo maana itakadi walionayo ni kupingana na hayo matakwa ya kishateni ya kuifanya dunia iabudu ciku moja...illuminanti ciku zote wanamweka mtu madarakan iwa lengo maalumu na ndo maana rais obama ni agent wao mkubwa ndo wanaemtumia ili akamilishe mipando hiyo....tayar baba mtakatifu Francis pope kasaini mikataba 3 nchini marekani ()1).ni kuiruhusu dunia iabudu siku moja ambayo ni jumapili (2) ni kuruhusu kanisa katoriki litangaze kuwa abortion is legally (3) ni kuruhusu ndoa za jinsia moja...ndo maana kila kipngozi yoyote duniani anapoanza kuonyesha resistance kinachofuata ni kumwondoa mafarakani kwa nguvu au mataifa makubwa kama marekani lazima wamuanzishie vikundi vyavkupinga utawala wake kwa kuvisponsor ...that s y vita haiishi na dunia lazima itimize lililoandikwa katika kitabu cha DANIEL na UFUNUO ..na huo ndo ukweli..
Nikukosoe, Kanisa katoliki linapinga masonic belief tangu miaka dahari na kuna sharia kabisa na anayekiuka hufukuzwa.

Kanisa katoliki linapinga kwa sheria kabisa ndoa za jinsia moja.

Kanisa katoliki na Papa Fransis hawajawahi kulazimisha kuwe na siku moja ya kuabudu. Kwanza Wao huabudu daily, J2 ni ibada kubwa tu.

Hizo nyingine ni conspiracy theories zisizo na ukweli.
 
Mleta umesema kweli kabisa, kuwa Syria na Iraq zinageuzwa kuwa vituo vya kujaribishia na kutangaza silaha za mataifa makubwa yenye nguvu za kijeshi na teknolojia. Katika kuperuzi kwangu leo nimeona habari iliyoandikwa "Going Global:Russian Su-34 on the way to Become Export Bestseller' katika chombo cha habari cha kirusi (sputnik) baada ya kuonyesha uwezo mkubwa wa ndege hizi za Su-34 huko syria Algeria wameweka oda ya ndege 12. tazama link hapa Going Global: Russian Su-34 on the Way to Become Export Bestseller Pia marekani wanatarajia kuiuzia Saudi Arabia silaha za kijeshi
Kweli kweli mkuu, Yale ni maeneo ya kutangaza soko la siraha zao
 
Nikukosoe, Kanisa katoliki linapinga masonic belief tangu miaka dahari na kuna sharia kabisa na anayekiuka hufukuzwa.

Kanisa katoliki linapinga kwa sheria kabisa ndoa za jinsia moja.

Kanisa katoliki na Papa Fransis hawajawahi kulazimisha kuwe na siku moja ya kuabudu. Kwanza Wao huabudu daily, J2 ni ibada kubwa tu.

Hizo nyingine ni conspiracy theories zisizo na ukweli.
Ww cjui unaishi dunia gan juz juz tu mwaka hapa walikuwa na mkutano wao wamaaskofu na kuna askofu alijitanza yy shogo na ana mume
 

Attachments

  • 1452115953279.jpg
    1452115953279.jpg
    23.8 KB · Views: 17
Back
Top Bottom