Synovate!huu ndio uadilifu wa jeshi letu la polisi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Synovate!huu ndio uadilifu wa jeshi letu la polisi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Oct 13, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jana,mzee mengi bila kutafuna maneno alitoa kashfa ya kuhusika kwa karibu kwa viongozi wa juu wa jeshi la polisi kitengo cha madawa ya kulevya kutaka kumbambikia mwanae kashfa ya madawa ya kulevya kwa tamaa zao binafsi huku wakijua ni kinyume na maadili ya kazi,ila watafit wa synovate wamewapa alama za juu jeshi hilo kwa watz kuwa na imani nalo ktk utendaji wake,je hayo tuliyyasikia jana ndiyo mliyoyafanyia utafiti?mbona hakuyaonyesha kwenye ripoti yenu?mtuambie basi na mengine mliyoyaficha
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Wewe unataka uwaingize wenzio matatizoni!
   
Loading...