Symbion Power: Intelligence watupu

Hata mimi napata hisia za kaukwel flani. Haiwezekani Mtu auze investment yake then agawe hera kwa watu kama vile.....rugema
 

Jee, unataka?
 
acha waibe bwana..maana mwishowe wanatununulia kofia na kanga na pilau huku mtaani...
 
uchochez tu tunaangalia documents mengine yako ww kwa ufahamu wako wewe
 
Wasiwasi wangu mkubwa ni kuwa wewe Mleta mada uhai wako upo hatarini na huyo Usalama wa taifa wa hapo Ikulu anayekutonya hizo habari ndio maisha yake yameishapotea kwani ndani ya utawala huu wa awamu ya nne usalama wa Taifa wengi wamepoteza maisha kwa sababu ya kutovumilia uhalifu huo na kutoa taarifa ambazo zimewaponza kutolewa uhai wao.
 
Sijui nani wa kuinusuru hii nchi......sijui.....sidhani kama Watanzania wanaelewa.......kwa nguvu walizonazo kwa mujibu wa habari hii......hayupo wa kuwashinda ......ni washindi....hutaki....lala tu humu ukilalamika ila tumeshawashindwa .......tusubiri "labda" kizazi kingine kitachotengenezwa na mfumo wa kidunia.......
 
Watz Na ngonjera bwana acha tu!!???
 
Ni upumbavu kusema, "wamiliki ni hawa hapa" na kisha ukasema "majina yanahifadhiwa"... upumbavu mtupu!
nenda shule sio kila kitu utafuniwe..hata waziri alie jiuzulu humjui..!?? Uko nchi gani..shuleeeeee
 

Hizo dila milion 100 zimeshalipwa tayarri na hakuna kodi ililupwa hapo, mwigulu alisinzia wakapata mwanya wa kukwepa Kodi, hata kwenye Dowans kuna walakini juu ya kodi yaani ni Full Majanga ! Huyo Mkono mwenyewe licha ya kulipwa Mapesa Mengi huwa halipi kodi. Rostam kauza shea zake za Voda kwa dola milion 240 hakulipa Kodi, Hizi kodi laiti zingelipwa zingeweza kuingizia pato hazina na kupata pesa za kununua Madawa yanayoweza kutumika kwa zaidi ya miaka 30, Je? Hapa Mzee Mengi hajapaona? au anamwonea aibu Rafiki yake mkono? Vipi Kafulila upo? Fanya maujanja tafuta mtu akupe pesa kama mengi alivyofanya Uanze kupaza Sauti maana hii ni Kashifa kubwa kuliko hata ya Escrow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…