Omari Issa Senior Member Joined Jul 26, 2012 Posts 168 Reaction score 45 Nov 24, 2017 #1 Habari wana jukwaa? Tafadhali, kama uzi unavyojieleza, naomba msaada mwenye syllabus ya kozi zifuatazo zinazotolewa na vyuo vya VETA hapa nchini. 1. English language 2. ICT 3. Enterpreneurship 4. Life skillls PM itapendeza zaidi Ahsante
Habari wana jukwaa? Tafadhali, kama uzi unavyojieleza, naomba msaada mwenye syllabus ya kozi zifuatazo zinazotolewa na vyuo vya VETA hapa nchini. 1. English language 2. ICT 3. Enterpreneurship 4. Life skillls PM itapendeza zaidi Ahsante