Bado mnakazana na advance tu, kwanini usipitie college ndugu yangu, elimu ya bongo bila mahesabu utapoteza ndoto zako. Utakuta eti kijana ana div 1 ya 18, naye anasema mimi naenda kusoma PCB nataka kuwa doctor. Udoctor Kizembezembe tu, ila ukiwa smart kichwani unaweza pitia njia ya diploma maliza, mchezo, nina hakika kupata hiyo div 2 tiari umejitoa kwenye ushindani kama ukipitia njia ya Advance