SWITZERLAND raia kupoea 2500usd for free

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
727
548
Uko Switzerland wanajiandaa kupiga kula ya kuitaka serikali kuwalipa wanachi dola 2500 kila mwezi buree ...mchakato bado una endelea sheria iyo pia ita wanufaisha wagen wenye uraia wa nchi hiyo ambao wameishi ndani ya nchi si chini ya miaka 5.

====================

Switzerland is voting on a proposal to give every citizen $2,500 a month, no questions asked

There’s been a lot of excitement over universal basic income (UBI) recently, with a venture capital firm and governments in Ontario and Norway planning trial programs.

But tomorrow (June 5), Switzerland will hold the first national vote on whether to introduce a basic income scheme. Under terms of the referendum, the government would give every adult citizen a monthly income of 2,500 Swiss francs ($2,554), regardless of need.

Proponents of universal basic income programs argue that they’re the answer to rising unemployment as automation eliminates more jobs, and that they could free society from endless hours of meaningless work just to pay basic living expenses. UBI would not deter people from working, they say, as there will still be an impetus to enjoy a higher standing of living.

However, it’s extremely unlikely that Switzerland’s vote on UBI will pass. Under Swiss law to call for a binding nationwide ballot , citizens only need 100,000 signatures to call for a binding nationwide ballot, but no major parties support the proposal. Recent polls show that more than 70% of people plan to vote against the measure, according to fivethirtyeight.

Opponents of the measure are concerned that UBI would deter people from working, and that budget cuts needed to fund the bill would weaken the Swiss economy. Still, the vote is a landmark moment for UBI, and the movement to guarantee a basic living standard appears to be gathering momentum. Pilot programs will be gathering data on how UBI will work in practice. And so while this probably won’t be the moment for UBI’s first major victory, it won’t be the end, either.

Source: Switzerland is voting on a proposal to give every citizen $2,500 a month, no questions asked
 
SASA HELA HIYO WANAITOA WAPI?
Automation/Robots ndio zitalipa hiyo mishahara maana ndio zimechukua kazi zote zilizokuwa zinafanywa na binadamu,hii issue hata huku baadhi ya sehemu west coast wanaifanyia majaribio
 
Automation/Robots ndio zitalipa hiyo mishahara maana ndio zimechukua kazi zote zilizokuwa zinafanywa na binadamu,hii issue hata huku baadhi ya sehemu west coast wanaifanyia majaribio
DOLA US$ 30,000 KWA KILA MTU?
 
SASA HELA HIYO WANAITOA WAPI?

Wale watu wako juu katika matumizi ya technolojia na uzalishaji wao hautegemei jembe la mikono. Kama wanazalisha vyema na uchumi wao uko juu, bila shaka ni jambo jema kuwapa wananchi mgao wa faida za kujikimu. Ni vipaumbele na hali ya uzalishaji.

Siyo kama kule kwingine, kwamba hata madawati shulleni hakuna, hospital hazina vifaa na madawa, serikali haina hata uwezo wa kujiendesha inaishi kubana mafao ya michango ya watumishi kwenye mifuko y ahifadhi za jamii ili serikali iweze kupata fedha za kutumia, hakuna kitu kinazalishwa zaidi ya hadith na ngonjera zisizo na tija, halafu leo watu wakae wasubiri mgao wa fedha!.

Hawa jamaa wako vizuri. B
 
Katika hiyo 25000 kumbuka nyumba ya kupanga tunalipa 13000.bado ujajiju.

Swissme
 
DOLA US$ 30,000 KWA KILA MTU?
Possibly lakini haya mambo is just a trial na hakuna mwenye uhakika na outcome ya hii experiment ni ideas tuu za some Economist in order to provide some safety net against poverty,lakini for now kutokana na advancement of robots/technology in general imefanya human awe replaced kwa kiasi kikubwa sana, ukiangalia datas from factories/businesses you will be shocked, nilimsikia CEO mmoja akisema last 10 years wameongeza production almost 500% and at the same time human manpower wamekata almost 75% kutokana na robots/technology..think about it,kwenye Agriculture ndio worse nimeona shamba la zaidi ya acre 2000 likihudumiwa na watu wawili tuu then kila kitu ni automation na wanazalisha kweli kweli sio mchezo na imefika point wanazalisha surplus mpaka serikali inawalipa ili wasilime,CEO wa McDonald kasema wakiamua kwenda full automation na hiyo technology ipo tayari wana uwezo kukata manpower zaidi ya 75% (1.5 million employees) na kuwa more efficient,tunapoelekea itakuwa ni full machines with Artificial intelligence.
 
KAMA NI TRIAL SAWA,,,,,,,ILA KAMA WAKIFANIKIWA BASI WATATENGENEZA HISTORIA AISEE!!(30,000 US$ YEARLY PER HEAD!!!!!!!!!!!!!!!)
 
Mbona wamejitajia pesa nyingi sana. Inamaana hao wananchi wao pesa zao zitakuwa zinafanya kazi gani?
 
Back
Top Bottom