Swimming classes

Caoch Abel

Member
Joined
Feb 5, 2019
Messages
7
Points
45

Caoch Abel

Member
Joined Feb 5, 2019
7 45
Hii ni kuwajulisha watu wote wenye nia,kwamba atimayr madarasa ya kuogelea yanaenda kukimbiza Dar es salaam.Madarasa ufanyika jumatatu adi jumapili kila wiki.Tunafundisha watoto na watu wazima,katika madarasa tofauti bila shaka! Gharama ni nafuu sana.piga simu au WhatsApp +255712547412 ili kujisajili siku nzuri kwako kujifunza na kwa maswali zaidi.kumbuka, hakuna zoezi kamili kama kuogelea na ni ujuzi mhimu wa kuishi nao Mbali na hayo sio vizuri tena kupumzika pande za pwani au kwenye swimming pool kwa kukaa kwenye viti au tenti bila kuingia ndani ya maji. Hebu tujifunze pamoja!!!.tufuate @swim_coach_abel @swim_coach_abel
 

Attachments:

Forum statistics

Threads 1,389,666
Members 527,997
Posts 34,031,452
Top