Sweet melodies Rama dee katika ubora uliotuka

Hakuna msanii wa RNB bongo anaetia mguu kwa Rama D......huyu jamaa ni noma sana.
 
Watakao kuelewa ni wachache, sana sana jiandae kuitwa muhenga au zilipendwa.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Mkuu umenikumbusha mbal Sana, achana na huyo jamaa namkubali Sana, enzi zile kina Sara na mapacha Sema sikuiz anaharibu kaingia Kwa singel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…