Sweden hawana Serikali tangu tarehe 9 Sept,leo imeshindikana kupata Serikali.Wanabembelezana uchaguzi usirudiwe kukwepa gharama,Tanzania je?

Tanzania uchaguzi wa jimbo au kata unaacha majonzi. Wenzenu Sweden hawana serikali tangu tarehe 9 Sept, na leo imeshindikana kupata serikali. Vyama vinabembelezana kuungana ili vifikie column inahitajika ili vishikie dola. Lakini Tanzania inatumia bilioni 15.8 kurudia chaguzi lakini inakopa bilioni 46 kujenga mradi wa maji. Tujiulize; sisi Tanzania hatutakaa tuifikie Sweden kwenye suala la maendeleo, na wana uchumi mzuri sana kuliko sisi Tanzania. Swali: Wao wanaona ni mzigo kwa walipa kodi kama uchaguzi utarudiwa. Je, sisi Tanzania tunafikiria kutojifunza toka kwa wenzetu?
Sisi sio wao
 
Wanasiasa wote wa Tanzania ni wachumia tumbo tu. Hakuna hata mmoja mwenye dhamira ya dhati ya kuleta maendeleo. Labda mkinichagua mimi ndio mtapata maendeleo.
 
Wasweden ndio wanatakiwa kuja kujifunza kwetu sisi tulikataa vyama vingi kupunguza gharama za chaguzi Na figisufigisu kama hizo za vyama vingi wakatulazimisha lazima tuingie vyama vingi tukakubali shingo upande wakati asilimia 80 ya watanzania walikataa vyama vingi.Ona sasa wao wanaojitia vinara wa vyama vingi wamekwaa kisiki.Waje Tanzania watuombe CCM tuwafundishe namna ya kujikwamua kwenye huo mkwamo.

Ukienda sweden kamwe hutarudi tena huku kweny utawala wa ccm...
 
Siasa na uchumi wa Tanzania ukisikia mradi unaendelea na mkatajiwa gharama jua kabisa asilimia kama 60 ya mradi ni pesa imeongezwa kwa ajili ya kuliwa.

Vivyo hivyo hizi chaguzi ni fursa za kupiga hela. Gharama ya uchaguzi inaongezwa watu wapige pesa.

Siasa Tanzania ni Ajira za watu,na ndio maana wanajali matumbo yao. Ingekuwa wanajua ni dhamana wamepewa kuleta maendeleo wasingekuwa wanafanya hayo mambo.
 
Acha kufananisha akili za viongozi wa Sweden na vitu vya kijinga jinga vya hapa Tanzania
 
Nikuambie kitu ambacho mimi Na wa Sweden hatukipendi kwako Na ungekuwa karibu naapa ningekuchinja ondoa hiyo avatar yako ya HITLER ya swastika
Umeona mimi nina Avatar ya Swastika? Ndio tatizo lenu CCM kudandia mambo.

Halafu Sweden hawasisimki kuua watu kama mlivyo nyie!!
 
Back
Top Bottom