Swari kwenu wadau

MUGASHA THE HERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
327
Reaction score
205
Je kuna madhara yoyote unayoweza kuyapata ukifanya mapenzi (kujamiana) kabla ya kuwa kwenye ndoa? Karibu kwa mjadara
 
Kwan wewe umeshawah kujamiana?
 
Hakuna madhara yoyote kwanza ni njia tosha yakujiridhisha kabla haujafanya maamuzi na hii yote unakwepa mambo yakuuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Yapo mengi sana ila kubwa ni kuwa Utasababisha uwepo wa ma-single mother kibao ambao wengine wanatusumbua humu jf.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…