swali

Lakini masharti ya hapa make sure hiyo picha ni lazima uwe umevaa mawani (sun gogoz) otherwise haitatokea , itagoma kudisplei .
 
Kwani ukiweka avatar ina ubaya gani?
 
Ingia kule katika profile lako upande wa juu utaona settings
click edit avatar - kisha chagua picha yako kwenye laptop, simu, au popote
kisha iupload hapo mwisho save hiyo picha itatokea hewani katika avatar yako
 
Kwani anamaanisha avatar? Yeye anataka kuweka picha kama vile jf photo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…