umeona eeeeeh!!! supposedly inatakiwa kuwa hivyo lakini je ndiyo hali halisi ya wenye ndoa zenu???? wat ana imaginary life mweee!!! (kila mmoja hutamani ndoa yake ingekuwa hivo lakini wapi)
Hahahahhaha nimecheka sana babu
Hapo kwenye red -inadhihirisha kabisa kuwa hii imetoka kwa Bibi, wewe mwenyewe ungelipata wapi hilo neno?
Sikuhizi vinaitwa visokorokwinyo.
Hiyo dose nimecheka kwa nguvu hadi nimepaliwa na mate babu
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yeomiiiiiiiiiii !!!!!
ndio mana nikakosa la kusema dearest, MJ1 katokea huko huko lakini kashasahau mara.
Tatizo hao nao bana wavivu kweli kujifungua.
Nilishaanza kujiuliza ulikokwenda leowapwa na mabinamu mi nina mtizamo tofauti kidogo
Kimsingi sioni justifiable reason kwa nini mdogo wake MJ1 awe na wa wasi wasi na mumewe
Mi binafsi huwa nazima simu usiku....kuna watu wana tabia mbaya, wanakupigia hata saaa sita saa nane kukujulia hali sijui kitu gani kwangu huo ni usumbufu
na my wife wangu pia huwa anazima tunamwomba Mungu apishie mbali mabaya yote ya usiku huo, kama lipo tulijue asubuhi.
Hii ni kwa sababu ya kupata muda wa utulizu na my wife wangu. Ikitokea nimesafiri au amesafiri hapo simu iko jewani 24/7.
ndio maana simshanga huyu bwana. sana sana amsomeshe kuwa ni nzuri kwa afya ya ndoa yao. Na kamwe asidanganyoke kujitia kutaka kuichokonoa kama hana mazoea hayo kwa sababu itajenga picha mbaya kweli kweli.
MJ1, mpigie mdogo wako. Mwambie kila kitu kiko shwari unless kuna TATIZO jingine lakini kama ni hili tu, atulie. Amekwambia kama wanadumisha mila kama kawaida au kuna tatizo?
Mbona watu wanayatafuta matatizo huko yaliko jameni?

may be ppl are different but I wouldnt really worry if his phone is off actually I prefer his phone to be off whenever I am with my guy... so if he put it off for me I really appreciate that...
Basi utaishi dunia ya upweke sana. Asilimia kubwa ya wanaume tunacheat. Mwambie afuate nyayo za mama matesha, amkabidhi box la kondom afu amwambie unapoenda kumega hivyo vichakubimbi vyako tafadhali tumia hizi silaha. Kwa kinga zaidi avae mbili na kumeza moja lisaa limoja kabla hajafanya matusi yake.
wapwa na mabinamu mi nina mtizamo tofauti kidogo
Kimsingi sioni justifiable reason kwa nini mdogo wake MJ1 awe na wa wasi wasi na mumewe
Mi binafsi huwa nazima simu usiku....kuna watu wana tabia mbaya, wanakupigia hata saaa sita saa nane kukujulia hali sijui kitu gani kwangu huo ni usumbufu
na my wife wangu pia huwa anazima tunamwomba Mungu apishie mbali mabaya yote ya usiku huo, kama lipo tulijue asubuhi.
Hii ni kwa sababu ya kupata muda wa utulizu na my wife wangu. Ikitokea nimesafiri au amesafiri hapo simu iko jewani 24/7.
ndio maana simshanga huyu bwana. sana sana amsomeshe kuwa ni nzuri kwa afya ya ndoa yao. Na kamwe asidanganyoke kujitia kutaka kuichokonoa kama hana mazoea hayo kwa sababu itajenga picha mbaya kweli kweli.
MJ1, mpigie mdogo wako. Mwambie kila kitu kiko shwari unless kuna TATIZO jingine lakini kama ni hili tu, atulie. Amekwambia kama wanadumisha mila kama kawaida au kuna tatizo?
Mbona watu wanayatafuta matatizo huko yaliko jameni?
...and when you are in need of voda rusha, he says no. You can't touch my phone, it is off. How do u like that?may be ppl are different but I wouldnt really worry if his phone is off actually I prefer his phone to be off whenever I am with my guy... so if he put it off for me I really appreciate that...
MWenzangu nilifikiria ni mimi tu nilifanyaga bad choice kumbe .........Ama kweli sifai tena kuwa mshauri wa ndoandio mana nikakosa la kusema dearest, MJ1 katokea huko huko lakini kashasahau mara.
Babu nimekoma umenichekesha leo hadi nimelia loh we lazima ulishawahifanya kazi Mwatex au Urafiki hayo maneno si bureHapo kwenye blue nakudai bia mbili. Huwezi sababisha nijing'ate ulimi kwa kupraktisi kulitamka hilo neno afu nisikupige faini! Leo bibi yako atakuwa na twisheni ya kulitamka hilo neno! LOL! Anavopendaga tuumbea leo mbona chakula cha usiku ntapewa kama dozi ya dawa mseto ya malaria!
Kuwa makini Babu namaanisha kama alikuwa anamwamini mumewe kupita kiasi aweke coma kwanza na achunguze further ili ajue jamani magonjwa yaliyopo kisa cha kuacha watoto (tena ye anao mapacha) bado wadogo??
Akisahajua nyendo za mwenzake ampe live kuwa najua unatembea na so and so ... ikiwezekana waanze kujikinga ah mi hata sijui afanyeje
habarini wanandugu
Kuna wakati nilishawahi kuuliza dalili kuwa mwenzio si mwaminifu kwako ni zipi nikashindwapata jibu. Sasa nauliza specifically maana kuna mdogo wangu kaja analalamika kuwa mumewe haeleweki siku hizi kila akija au yeye akienda (wanaishi mikoa tofauti) usiku lazima mume azime simu zake. Akimwuuliza anadai kuwa zina matatizo ya charge!! Yaani hata akiomba kurushiwa credits mr atawasha, amtumie kisha anazima.
sasa mie alivyoiweka kwangu naona ni kama mr anaavoid kugonganisha magari hewani au nakosea?
Je mkeo/mumeo akifanya hivi utafikiriaje?
2. Kafanye nini kutoa huu wasi wasi wake?
Tena bibie kama unajidanganya kuwa mmeo anakupa dozi wewe peke yako ujue imekula kwako! Hivi unafikiri hao mamilioni ya kinadada ambao hawajaolewa wakiwemo mabaamedi hizo mimba wanapewa na majogoo? Ni midume yenye wake zao wazuri tu!otee ndao, kanimaliza zaidi hapo aliposema asilimia kubwa yao wanachiti...mweh habaki mtu.
Au awashe akurushie kisha azime tena!!...and when you are in need of voda rusha, he says no. You can't touch my phone, it is off. How do u like that?
MWenzangu nilifikiria ni mimi tu nilifanyaga bad choice kumbe .........Ama kweli sifai tena kuwa mshauri wa ndoa
bht mwenzio mie ni wale wa nyota yenye sifa za kuday dream ...nadhani ndo tatizo linapokuja jamani. Siku nyingine nafikiriaga visivyofikirika ati. Kama ya leoMJ1 huwa ana dunia yake ya kufikirika (kama anavojisemea mwenyewe)
lakini tukija kwenye ulimwengu halisi tuishimo hayo ndo maisha....