JOHN ze DON Senior Member Joined Feb 27, 2013 Posts 140 Reaction score 135 Feb 28, 2013 #1 Kila mtanzania anafatilia siasa ya kenya na unakuta anamjua kila mgombea wa kenya, swali ni je? wakenya nao huwa wanafatilia siasa zetu na kuwajua viongoz wetu???
Kila mtanzania anafatilia siasa ya kenya na unakuta anamjua kila mgombea wa kenya, swali ni je? wakenya nao huwa wanafatilia siasa zetu na kuwajua viongoz wetu???
toghocho JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 1,172 Reaction score 198 Feb 28, 2013 #2 some kind of a joke?