wapendwa kuna kitu kimoja ambacho nimekua nikishangaa
kuaona mwanafunzi anayefaulu darasa la saba na akachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza serekalini(shule za kata ) anafeli kidato cha nne
lakini yule aliyefeli darasa la saba na akasoma shule binafsi anafaulu na kwenda mbele.
hivi hapa nini tatizo?