Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,797
- 6,795
Habari za siku
baada ya kuwa member wa jf takribani miaka 4 sasa. kinachonifurahisha karibia kila uzi kuna watu lazima uwakute Nyani Ngabu mshana jr @richabraa Daby The Boss Eli79 Asprin miss chagga luckyline warumi geniveros kuna wengine ambao naona wamepotea kina Everline salt @lara1 PAUL sergio de south na wengineo.
sasa najiulizaga wanaingiaga humu wakiwa wapi nyumbani, ofisini, daladala au wapi. maana nawaonaga kila uzi wapo sasa wanawezaje maana mimi najitahidi lakini nimeshindwa.
haya mawazo tu msinitukane
mimi naingiaga nikiwaga nyumbani tu.