Swali tu..

Swali tu..

Dopas

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2010
Posts
1,151
Reaction score
392
WanaJF
Kila mara tumeshuhudia wengi wanaotoka CHADEMA, ama kwa kufukuzwa au kwa kuacha wenyewe, huendelea kuisema CHADEMA kila kukicha kwa kuichafua... mifano michache ni Lukosi, Mwapamba na Shonza. Swali ni ni kwanini hao na wengine wa aina hiyo huendelea na CHADEMA moyoni, ingawa kwa nje wamejivika kijani? Kwanini hawajizatiti na mipango ya kuijenga chama chao kipya, hata kama ni chama cha nyanya chungu, badala yake huendelea kuizungumzia CHADEMA kila kukicha? Ni swali tu...
 
Uulishawahi kutana na mwanamke/mwanaume aliyeachika ?wala hujiulizi mara mbili ni maneno ya mkosaji
 
kwa mtu hajui anachofanya ni rahisi kupata cha kuongea kwa kuiongelea CDM. Kumbuka kuna watu wengi katika vyama vya siasa ambao ni wanafiki kwani hata wakiona mwenzao anaongea pumba wanakaa kimya hata bila kumwita pembeni na kumwambia hii siyo style yao. Jamani kumbuka mtu yeyote anayefanya mema hawezi kuogopa kusimama mbele za watu na kujieleza kwa lugha ya kawaida ili watu waweze kuelewa. sasa angalia vyama vingine wakiona kuna maelezo ya watu wenye kuwa na uhakika wanachokizungumza wanajaribu ktumia mbinu mbovu ili kuaharibu ustaarabu wa demokrasia.
 
Uulishawahi kutana na mwanamke/mwanaume aliyeachika ?wala hujiulizi mara mbili ni maneno ya mkosaji
...au anayekufa maji...... Yaani haishi kutapatapa... Mara ashike pale, kile ilimradi anahangaika, na kuna wakati atataka ayashikilie maji..
 
Back
Top Bottom