Mungu ni HE kwa mujibu wa biblia. Inasema kuwa mungu ni baba haijaandikwa mungu ni mama, mungu ni bwana wa mabwana, mume wa wajane, ni mfalme haijaandikwa mungu ni malkia. Kumbuka kuwa neno MUNGU siyo jina lake bali ni sifa yake(MUUMBAJI). Jina lake hasa ni JEHOVA na akiwa duniani aliitwa EMANUELI.(MUNGU PAMOJA NA WANADAMU) Hakuna SHE anayeitwa baba, bwana, emanuel au mfalme. Lakini pia mungu ni roho so anaweza kuwa chochote akitaka ktk utendaji wk wa kazi. Ila ndg yng angalia sana mungu hachunguzwi.