...na akizindua choo!?
...na akizindua choo!?
sasa vipi kondom za kike?Itategemea ni raisi wa kike au wa kiume hiyo moja! la pili atapatiwa kadhaa akajaribu na mwenza wake wa ubani! na tatu ili wananchi waone shughuli nzima ya ufunguzi atachukua pipe ya bandia pale TACAIDS na kuvisha na kupiga mbiu CCM oyeee!
Rais akifungua mradi wa maji basi atachota na kunawa kidogo,akiwa anazindua barabara basi atatembea kidogo kwenye barabara hiyo mpya,pia rais akifungua jengo fulani atakata utepe na kuwa wakwanza kuingia,hata akizindua kampeni za ukimwi hua wakwanza kupima,akifungua kiwanda cha nguo basi ugaiwa angalau flana avae..Swali je siku akifungua kiwanda cha kondom atafanya kitu gani kwanza?
sasa si lazima apigwe picha rais hapa anakunya pembeni pana kopo la maji lina nembo ya moprocoitabidi mumpishe kwanza!
na mama MwanaAsha!Lazima zindue kwa kufanya nayo mapenzi ili ajue kama kondomu hizo ni bora au la. Swali ni je atafanya majaribio hayo na nani?
this is question.Searching...100%
Loading...0%
Network failed !
What this ?
Itategemea ni raisi wa kike au wa kiume hiyo moja! la pili atapatiwa kadhaa akajaribu na mwenza wake wa ubani! na tatu ili wananchi waone shughuli nzima ya ufunguzi atachukua pipe ya bandia pale TACAIDS na kuvisha na kupiga mbiu CCM oyeee!
ataipuliza!