Swali: Nchi Gani Duniani Chama Pinzani Kinakitegemea Chama Tawala Kujiimarisha?

G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,359
5,209
Ndugu zangu ni Tanzania pekee ambpo chama tawala kinategemea, kupata support ya kisiasa kutoka chama tawala kujijenga, baadye chama tawala kikigoma kinalaumiwa. Je, ni kweli kuna nchi nyingine dunian za aina hiyo?
 
Sidhani kama umelinganisha vya kutosha kijana; umeangalia Tanzania na ukatengeneza mawazo yako then ukatoa na conclusion; hebu ifikirie Uingereza na kujitoa kwake EU; unadhani wabunge wa upinzani walipingana na waingereza wenzao? Sorry; hivi suala hili si ndio lililomtoa madarakani the X PM wa Uingereza? Where were the wabunge wa chama tawala na wa upinzani? Look, when it comes to maslahi ya Tanzania, bila kujali vyama vyenu, nchi za wanao fikiria vizuri hulenga maslahi ya nchi na sio vyama.
 
Vyote vya duniani hata USA angalia now democrat wanavyojiimarisha kwa maboko ya trump
 
Back
Top Bottom