Ili iweje!
Si Kila watu ni wakurupukaji yakhee..
"Nimeamua kukaa kimya na hakuna mwenye mabavu ya kuligawa taifa"
Hii kauli inatosha kutoka kwa Rais
Ni kwamba hata nyaraka sijui waraka zitoke ngapi Jambo limepitishwa Bungeni ni kama mnapigia mbuzi gitaa..
Hivi pale Kuna PhD ngapi maana nijuavyo ukiwa umesoma sana hasa hii elimu ya mzungu pale huwezi kukaa kwani utabamizwa na majini hadi utawaachia wenye nafasi yaoû