Siri ni kwamba mwanaume akisimulia mwanaume mwenzake mambo ya chumbani kwake, uje ndoo mwanzo wa kuchakachuliwa na rafiki yake kwani huyo rafiki atatumia hiyo advantage kutembea na mke wa rafiki yake. Just imagine kuwa rafiki ya mmeo anakuja anakueleza mambo amaboyo ni nyeti ya chumbani kwenu we na mumeo, how will you feel, na ikikuomba unadhani utamnyima!!!!!!!!!So we don't speak of our women to our friends, Natalia. Kwanza mi nikioa sitaki rafiki kwangu. Urafiki huko bar au kazini full stop