Swali la ufahamu

Swali la ufahamu

Achana na vidonge

Kula vyakula vya kawaida kama wazazi wako walivyokulea kisha zingatia maji na mazoezi.
 
Ginsomin ni virutubisho (supplement) vinavyotengenezwa kwa mchanganyiko wa ginseng (kijani kutoka Asia) na vitamini mbalimbali. Hutumika kuongeza nguvu mwilini, kuboresha kinga ya mwili, kupunguza uchovu, na kusaidia katika kuongeza hamu ya tendo la ndoa (libido), hasa kwa wanaume.

Faida za Ginsomin:
  • Huongeza nguvu na kuondoa uchovu
  • Husaidia kuboresha utendaji wa ubongo na kumbukumbu
  • Huboresha msukumo wa damu
  • Husaidia kuongeza kinga ya mwili
  • Huchangamsha mwili, hasa kwa wenye udhaifu au msongo wa mawazo

Dozi ya kawaida:
Kidonge 1 kwa siku, baada ya mlo

Tahadhari:
  • Epuka kutumia ukiwa na shinikizo la juu la damu bila ushauri wa daktari
  • Inaweza kuingiliana na dawa nyingine, kwa hiyo ni vizuri kumshirikisha daktari

Bei:
Kati ya Tsh 40,000 hadi 70,000 kwa boksi (capsule 30), kutegemea na duka.
 
Kama mwili unakugomea kufanya mapenz c uachane nayo ufanye mambo mengine kwani lazima mfanye mapenz?? Mbona mnataka kujitafutia matatzo mwishowe mfie kwenye vifua vya watu. Mi nilijaribu sana kwenye madawa na nilishawahi nunua dawa mpaka 150k ila sikuona mabadiliko yoyote nikaona usenge huu nikaamua kuachachana na mapenz saiv nafanya kilimo tu😄
 
Kufanya hivyo unaingia kwenye uraibu kama uraibu wa madawa ya kulevya yani ukitaka kufanya hivyo utakuwa mtumwa na akili yako itaangukia huko.

Liepuke jambo hilo kabla halijakuwa jambo kubwa kukuaribu kimwili na kiakili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom