Swali la ufahamu.

Bornventure

JF-Expert Member
Jan 29, 2017
529
523
Naomba kujuzwa kuhusu swala la mtu kutaka kujua mawasiliano ya mtu kwa simu yake. Ni kwa vigezo gani kampuni inaweza kuruhusu na kukuonesha au kukusikilizisha mawasiliano baina ya mtu na mtu??
 
Back
Top Bottom