Maendeleo ni nini? Nyumbani kwangu kijijini miaka 30 iliyopita kulikuwa nyumba za tofali zinahesabika; leo hii kila boma kwa uchache kuna nyumba moja na umeme. Ninakoishi mjini mtaani kwetu miaka 17 iliyopita familiz zenye magari zilikuwa zinahesabika leo karibu kila nyumba ina gari......maendeleo kwako ni nini? Vibanda vya kuuza mkaa mitaani vinafutika badala yake kuna vibanda vyakuuza gesi......kwako maendeleo ni nini?........miji mingi ukitafuta shell zenye mafuta ya taa utazunguka sana maana hiyo nishati haitumiki tena .....kwako maendeleo ni nini? Leo kila familia inalia upatikanaji wa wasichana wa kazi za ndani umekuwa mgumu unajua ni kwa sababu watoto karibu wote wa nchi wako shule?....hayo siyo maendeleo ni nini?Hili ni swali gumu sana lenye majibu mepesi.
Moja:
Uongozi Safi (Best leadership). Nchi hii hata ingejaa dhahabu kiasi gani bila uongozi imara kupiga hatua ni ndoto za mchana. Wakati wengi wenu mkikimbilia nchi za Asia, uarabuni na kwingineko tambueni tu nchi hizo at one point in time tulikuwa tuko Sawa ni terms of level of development.
Mbili:
Strong institution. Hapa ni kuwa lazima tuwe na Katiba imara, mhimili wa mahakama usioingiliwa hata na taasisi zingine na wenye nguvu ya kumshitaki hata raisi ikifanya fyongo.
Tatu:
Kazi na elimu. Watu wafanye kazi na kuwe na tuzalishe wataalamu wengi kwa maana ya kuwa na strong and knowledgeable human resource base.
Mengine ni kama ziada tu.
Kukosa Namba moja mengine yote sahauni.
Conclusion: Wale mnaopiga kelele kuwa Tanzania itaendelea kuwa kama ulaya kwa kasi sijui ya awamu gani basi yafaa mujihoji..
Wito. Tufanye mabinduzi ya kiuongozi sio lazima CCM itoke madarakani bali tubadili wanaotuongoza kuwa na sifa ya kuliletea Taifa maendeleo. Pia tunaweza itoa mana ni sisi tumeiweka
Maendeleo ni nini? Nyumbani kwangu kijijini miaka 30 iliyopita kulikuwa nyumba za tofali zinahesabika; leo hii kila boma kwa uchache kuna nyumba moja na umeme. Ninakoishi mjini mtaani kwetu miaka 17 iliyopita familiz zenye magari zilikuwa zinahesabika leo karibu kila nyumba ina gari......maendeleo kwako ni nini? Vibanda vya kuuza mkaa mitaani vinafutika badala yake kuna vibanda vyakuuza gesi......kwako maendeleo ni nini?........miji mingi ukitafuta shell zenye mafuta ya taa utazunguka sana maana hiyo nishati haitumiki tena .....kwako maendeleo ni nini? Leo kila familia inalia upatikanaji wa wasichana wa kazi za ndani umekuwa mgumu unajua ni kwa sababu watoto karibu wote wa nchi wako shule?....hayo siyo maendeleo ni nini?
Rudi soma nilichoandika...nimeweka point tatu mhimu katika mtiririko wa umhimu wake. Hakuna mtu ataenda kujenga hospitali vijijini, hakuna mtu ataenda kupeleka vitabu mashuleni, hakuna mtu atabadili mtaala uendane na matakwa ya jamii, hakuna mtu ataweza kuweka vipaumbele kwenye matumizi ya raslimali za taifa, hakuna mtu anaweza kuleta sera nzuri za uwekezaji kama sio POINT NAMBA MOJA KWANZA. Uzaifu wetu uko kwenye namba moja. Next time soma chambua elewa ndo ujibuMy furend nchi haiwez kuendelea as nchi. Bali maendeleo ya mtu mmoja mmoja Ndio huleta maendeleo ya nch 1+1+1+1+...................= A VERY BIG THING.
Personal development/ maendeleo ya mtu binafs ni muhimu kwa taifa. individual hakishindwa kutambua potential ambayo yupo nayo ningumu sana taifa kuendelea.
Kumbuka kweny individuals ndo tunatoa watu wenye kulisaidia taifa katka ukusanyaji WA mapato yanayo saidia ujenz wa maendeleo ya taifa. Tunayo mifano hai bwana Saidi baharesa n mmoja wetu alitumia potential yake back at the days na leo kupitia makampuni yake anachangia zaid ya 5% kwenye kodi ya nchi pia the same story kutoka kwa wengine ni the same Mfano figure zinazojulikana MENGI na wengine wengi katka industry tofauti tofauti
Maendeleo ni nini? Nyumbani kwangu kijijini miaka 30 iliyopita kulikuwa nyumba za tofali zinahesabika; leo hii kila boma kwa uchache kuna nyumba moja na umeme. Ninakoishi mjini mtaani kwetu miaka 17 iliyopita familiz zenye magari zilikuwa zinahesabika leo karibu kila nyumba ina gari......maendeleo kwako ni nini? Vibanda vya kuuza mkaa mitaani vinafutika badala yake kuna vibanda vyakuuza gesi......kwako maendeleo ni nini?........miji mingi ukitafuta shell zenye mafuta ya taa utazunguka sana maana hiyo nishati haitumiki tena .....kwako maendeleo ni nini? Leo kila familia inalia upatikanaji wa wasichana wa kazi za ndani umekuwa mgumu unajua ni kwa sababu watoto karibu wote wa nchi wako shule?....hayo siyo maendeleo ni nini?
CCM ikiwa madarakani.hatutoboiHili ni swali gumu sana lenye majibu mepesi.
Moja:
Uongozi Safi (Best leadership). Nchi hii hata ingejaa dhahabu kiasi gani bila uongozi imara kupiga hatua ni ndoto za mchana. Wakati wengi wenu mkikimbilia nchi za Asia, uarabuni na kwingineko tambueni tu nchi hizo at one point in time tulikuwa tuko Sawa ni terms of level of development.
Mbili:
Strong institution. Hapa ni kuwa lazima tuwe na Katiba imara, mhimili wa mahakama usioingiliwa hata na taasisi zingine na wenye nguvu ya kumshitaki hata raisi ikifanya fyongo.
Tatu:
Kazi na elimu. Watu wafanye kazi na kuwe na tuzalishe wataalamu wengi kwa maana ya kuwa na strong and knowledgeable human resource base.
Mengine ni kama ziada tu.
Kukosa Namba moja mengine yote sahauni.
Conclusion: Wale mnaopiga kelele kuwa Tanzania itaendelea kuwa kama ulaya kwa kasi sijui ya awamu gani basi yafaa mujihoji..
Wito. Tufanye mabinduzi ya kiuongozi sio lazima CCM itoke madarakani bali tubadili wanaotuongoza kuwa na sifa ya kuliletea Taifa maendeleo. Pia tunaweza itoa mana ni sisi tumeiweka
we ndo hujaelewa nimeandika nn ..Rudi soma nilichoandika...nimeweka point tatu mhimu katika mtiririko wa umhimu wake. Hakuna mtu ataenda kujenga hospitali vijijini, hakuna mtu ataenda kupeleka vitabu mashuleni, hakuna mtu atabadili mtaala uendane na matakwa ya jamii, hakuna mtu ataweza kuweka vipaumbele kwenye matumizi ya raslimali za taifa, hakuna mtu anaweza kuleta sera nzuri za uwekezaji kama sio POINT NAMBA MOJA KWANZA. Uzaifu wetu uko kwenye namba moja. Next time soma chambua elewa ndo ujibu
Aisee cha ajabu Taifa lina watu wenye upeo kama wako na wengine wameaminiwa kabisa kupata nafasi nyeti ili Nchi iendelee...unajiamini kabisa na kuandika hayo madudu...Maendeleo ni nini? Nyumbani kwangu kijijini miaka 30 iliyopita kulikuwa nyumba za tofali zinahesabika; leo hii kila boma kwa uchache kuna nyumba moja na umeme. Ninakoishi mjini mtaani kwetu miaka 17 iliyopita familiz zenye magari zilikuwa zinahesabika leo karibu kila nyumba ina gari......maendeleo kwako ni nini? Vibanda vya kuuza mkaa mitaani vinafutika badala yake kuna vibanda vyakuuza gesi......kwako maendeleo ni nini?........miji mingi ukitafuta shell zenye mafuta ya taa utazunguka sana maana hiyo nishati haitumiki tena .....kwako maendeleo ni nini? Leo kila familia inalia upatikanaji wa wasichana wa kazi za ndani umekuwa mgumu unajua ni kwa sababu watoto karibu wote wa nchi wako shule?....hayo siyo maendeleo ni nini?
Kwa hiyo nchi haina maendeleo yoyote? hata wewe kuweza kuwasiliana kwa key board bila kujuana siyo maendeleo?Aisee cha ajabu Taifa lina watu wenye upeo kama wako na wengine wameaminiwa kabisa kupata nafasi nyeti ili Nchi iendelee...unajiamini kabisa na kuandika hayo madudu...