Ha ha ha ha mie nimempenda baadae sana afu sasa hivi nampenda sana sijui kanipa nini nashindwa kuelewa jamani. Ila mwanzoni nilikuwa kama najilazimisha vile.
Hujapewa kitu rfk unachotakiwa kujua ni kwmb wanawake wanapenda taratibu taratibu sn. Wkt mwenzio alishaanza zmn na anakaribia kumalza kupenda we ndo unaanza ndo mana asilimia kubwa ya wanawake ndo wanaumia sn. Kwasbb muda mwenzio kachoka we ndo unaanza kupenda. Alafu kuzoeana ndo upendo wenyewe unavyokomaa.