Nicas Mtei!
Halafu mkuu, just thinking out wild, are you sure huyo mwanaJF alisema H.O.E na sio -----? hahahahaha
Pole sana, nilikuona sehemu fulani
Nicas Mtei!
Halafu mkuu, just thinking out wild, are you sure huyo mwanaJF alisema H.O.E na sio -----? hahahahaha
Ukifukunyua sana unaweza kuta huyu ni Nicas Mtei! #justSAYING
Ukifukunyua sana unaweza kuta huyu ni Nicas Mtei! #justSAYING
Asiwe anaandika vibaya...penye r anaweka l and viceversa...mtu wa hiv hata angekuwa na sifa zote
Hapana mkuu, nilikuwa nimekaa sehemu na mwanaJF akapita mdada akasema yule ni H.O.E
Hahaha...mkuu usinicheke tafadhali huo ndo udhaifu wangu
Sasa wewe mlembo mbona mimi nirikua nimeshakupeda . . . . lol?
Usijari...am avairable for u
Nirikuwa nasubilia uniambie wewe si wajua tena mira na destuli zetu...Kumbe urikuwa umeshanipenda tangu kare ......
Sasa mbona urikua hujaniambia?
Nirikuwa nasubilia uniambie wewe si wajua tena mira na destuli zetu...
Daa hiki kitu kimenigusa sn,kuna demu nimedumu naye miaka 4,ss nataka fanya process awe ndani but naona ANAPENDA KUNITAWALA NA KUNIFOKEA,pia ANAJIAMINI kupita maelezo.
Natafakari,sijui kama tutafikia coz nami najijua jinsi nilivyo.
Basi nimeshamariza kazi ......
Niereze sasa ...!!