Umemaliza chuo kikuu mwaka huu mwezi wa 6,haraka mwezi wa 7 ukapata kazi, matokeo ya semista ya mwisho yanapotoka ukakuta una SUPP, je utatoa sababu gani kwa waajiri ili kuondoka kwenda kufanya SUPP?
Duhh point zinatiririka ile mbaya yaani wabongo noma!
Kwani ukiweka wazi atakuzuia?.
UKWELI UTAWAWEKA HURU waajiri wengine hawajasoma na wengine ni waelewa ukisema kweli unaonekana mwaminifu tu fikiri likibumburuguka itakuwaje?.