Wang Shu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 2,573 Reaction score 3,758 Jun 9, 2020 #2 Maiti ni mtu/kiumbe mfu, aliekufa(kupoteza uhai)
Dick mrisho JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 305 Reaction score 580 Jun 9, 2020 Thread starter #3 Wang Shu said: Maiti ni mtu/kiumbe mfu, aliekufa(kupoteza uhai) Click to expand... Yax, sasa icho kiumbe kilichokufa kwa mujibu wa swali ni nani
Wang Shu said: Maiti ni mtu/kiumbe mfu, aliekufa(kupoteza uhai) Click to expand... Yax, sasa icho kiumbe kilichokufa kwa mujibu wa swali ni nani
Makanyaga Platinum Member Joined Sep 28, 2007 Posts 11,817 Reaction score 7,562 Jun 9, 2020 #4 Dick mrisho said: View attachment 1472663l Click to expand... Mtoto=====A Maiti=======X Mke wa maiti======Y Kaka wa mke wa maiti======Z X (maiti) ni mume wake na Y Z ni kaka yake na Y Z ni mjomba wake na mtoto A A ni mtoto wake na Y, au Y ni mama yake na A Kwa hiyo Maiti ni Baba yake na mtoto
Dick mrisho said: View attachment 1472663l Click to expand... Mtoto=====A Maiti=======X Mke wa maiti======Y Kaka wa mke wa maiti======Z X (maiti) ni mume wake na Y Z ni kaka yake na Y Z ni mjomba wake na mtoto A A ni mtoto wake na Y, au Y ni mama yake na A Kwa hiyo Maiti ni Baba yake na mtoto